Search This Blog

Sunday, July 5, 2015

Powerful dua, contact :Mawasiliano: Upate huduma +255762053174/+255621870342


Kuna magonjwa siku hizi yanamshambulia mtu na akipata vipimo hawaoni kitu na wanaamua wampatie madawa tu ya kupunguza maumivu na anateseka saana mpaka tarehe yake ya kufa inawadia.Unaweza kuomba Dua na kunywa madawa na Mungu muweza atakusaidia tu kwa Yakini na Imani juu yake.

Magonjwa yasiyoonekana kwa vifaa vya kisayansi

  • Kulogwa na kuwa na majini mwilini
  • Kuwa kichaa kwa sababu ya kulogwa
  • Kupotea mimba na hili hali ilikuwa inacheza na wala si kuharibika
  • Mimba kutoka mara kwa mara
  • Mfumu wa hedhi kuwa usiokawaida kama kukaa siku nyingi na kutoka matone matone kiasi
  • Kuingiliwa na kufanya tendo la ndoa usingizini na watu au wanyama
  • Kuhisi kitu kinacheza tumboni na kuhama kwa mwanaume au mwanamke asiye na mimba
  • Kuota unakula vitu usiku au unalishwa
  • Ndoto za kutisha usingizini mpaka kuamka moyo unadunda
  • Usiku kusikia watu wanakuita au wanatembea kwenye nyumba yako
  • Kuona mtoto unawaka chumbani na wala hujawasha umeme wala hakuna radi ya mvua
  • Kuchanjwa mwili na mikwaruzo kila mara ukiamka asubuhi
  • Kuingia hedhini kusikoisha wala kukoma yaani mfululizo kama mwezi au zaidi
  • Kutingishika viungo vya mwili na kuhisi moto baadhi ya viungo
  • Kupata ganzi sehemu za viungo
  • Kujihisi huna hali ya kuishi na kutamani kufa au kujaribu kujiua
  • Kuitwa jina lako na mtu haonekani
  • Kutetemeka mkono au kiungo chochote
  • Kugongwa kichwa upande mmoja
  • Kuchukia mke wako au mme bila sababu ya msingi
  • Kuona umbo sura ya mme au mke wako ya ajabu na unachukia hata kuongea naye
  • Kugombana na marafiki mpaka kila mtu anaona wewe haufai kabisa na wanakuchukia bila sababu
  • Ajali za mara kwa mara na kuponea chupu chupu
  • Macho kushindwa kuona kazini au darasani lakini ukitoka unaona vizuri
  • Kusinzia wakati wa ibada na wakati wa vikao umuhimu
  • Kuchukiwa na bosi na wafanyakazi wenzako na ili hali ni mchapakazi na unajitahidi sana
  • Kupenda maasi na kuona ya kawaida kama zinaa, pombe, madawa ya kulevya
  • Kutoshiba hata kama hauna minyoo, unapenda kila saa ule kwani njaa inakuwa kama ugonjwa
  • Ukipata kazi hufanyi na haupendi
  • Biashara ukipata pesa na faida matatizo yanaingia kwa kasi na pesa ikiisha basi
  • Ukipata mshahara hali inakuwa ngumu na mikasa inafuatana kiasi kwamba unahisi kuchanganyikiwa
  • Kuhairisha mipango mizuri bila sababu mpaka unazeeka unasema ningefanya ningefanikiwa lakini umechelewa
  • Mwanamke kukauka sehemu za siri mpaka mke anachubuka na mme wanapokuwa wako kwenye tendo la ndoa
  • Kutoa harufu sehemu za siri na hata kama ni msafi
  • kupata kinyesi kigumu kama cha Mbuzi hata ukinywa maji mengi na kula matunda.
  • Uume kuendelea kuwa mdogo kama wa mtoto na kulegea bila sababu za kisayansi
  • Kuongea ndotoni na kupiga makelele
  • Kugombana kwenye familia bila sababu za msingi na suluhu haipatikani
  • Kusikia sauti
Kama umepima hospitali na hakuna matokeo wala chanzo na unaendelea kuumwa basi inaweza kuwa majini, uchawi na aina ya mapepo yaliyo kuvaa yenyewe au kutumwa kwa wanadamu wabaya wenye husuda na wivu dhidi ya ndugu au rafiki anapofanikiwa kwa hali moja au nyingine.
Sisi kwa uwezo wa Mungu mmoja tutakupa ushauri, tiba na muongozo kwani hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba kwa Uwezo wake Mungu mmoja wa pekee anasaidia kuwaonyesha dawa waja wake kwa njia mbali mbali. Kuna utaratibu wa kisomo na dua kama ruqyah na tiba hapa Dar es Salaam

Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

Email:tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment