Search This Blog

Tuesday, June 16, 2020

Uchawi ni dhambi katika uislam

Usiloge wala kujifunza uchawi, uchawi ni kosa na hukumu ni kuuawa katika mafunzo ya dini za Kiislam na Kikristo kwani watu wengi wanasumbuliwa na wachawi na chanzo ni husuda na kulipiza.

Mungu anasema Wachawi waliitwa na Faraho wa misri enzi za Mtume Musa, Musa alipotumia uwezo wa Mungu wao walidhani ni uchawi na wakataka kuonyesha uchawi wao kwa Musa, Musa kwa kutumia uwezo wa Mungu aliwashinda na baadhi yao wakasujudu na kuamini Mungu wa Musa na Harun,

Habari utazipata katika Qur'an na Biblia na mpaka leo wachawi wapo, ukijihisi umelogwa kwa dalili hizi kukutokea:

Kuchanjwa usingizini
Kuota ndoto za ajabu na za kutisha
Kuumwa maradhi yasiyoeleweka hata kwa vipimo vya Hoaspitali
Kuchoka kila siku ukiamuka asubuhi na huna malaria kamwe
Kukata tamaa ya maisha na kila mtu kukuchukia
Kama ni mwanamke hupendi kuolewa au unakosa wa kukuoa na kila akija mchumba anaacha muda mfupi tu
Kuota unafanya mapenzi na watu usiku au wanyama
Kuota unajisaidia sehemu au chooni au sehemu chafu
Kuhisi unaitwa jina lako

Ukiwa na dalili mojawapo basi kuna uchawi unaendelea dhidi yako na unaweza kuomba sana Mungu mmoja wa pekee na wakati huo unapata tiba na kutumia dawa zifuatazo:

  1. Powerful soap
  2. Powerful Oil
  3. Safisha
  4. Mt32
  5. Peace Oil

Uchawi upo kwa asilimia 100

uchawi upo kila sehemu na wala usiogope kwani ukimuamini Mungu muumba kwa uhakika unaushinda kwa uwezo wake.

Ukihisi kuogwa na dalili kama kuchanjwa usiku umelala, kukwaruza mikwaruzo umelala, kuota unalishwa vitu au nyama, kuota nyoka weusi na mbwa mara kwa mara usingizini basi jua kuwa umelogwa na unawezekana hata jini umetupiwa unaishi nalo.

Kuna mambo mengi hatuyaoni kwa macho ila yapo, kama mawimbi ya mitandao ya simu, mawimbi ya TV, Radio, Uhai na maisha baada ya kufa tutaona mengi zaidi ya haya.

Malaria huwezi ukaiona bila Microscope lakini tunaweza tukapata dalili za malaria kama viungo vya mwili kuumwa na kulegea, homa kali na kichwa.
Dalili zinatupa taarifa kuwa mwili wetu unaweza kuwa una malaria ila tunahakikisha kwa kupima malaria kwenye maabara.

Uchawi unazo dalili nyingi ila watu wanasema mimi nina bahati mbaya au nina kisilani au kuna mkono wa mtu na mfano wa kama hayo.

Kwa hiyo la msingi na muhimu ukijihisi hauko sawa nenda kwanza kapime afya na ukikuta ugonjwa mwilini basi anza dozi sahihi, ikiwa hakuna walichokiona basi jaribu kutumia dawa za asili zikiwemo za tiba nyingi ikiwemo hata uchawi.

Dawa hizi ni muhimu kwa mtu mwenye dalili za kuhisi maumivu na miguu kuwaka moto, kuota ndoto mbaya, kuhisi vitu mwilini vinatembea mwilini na kujihisi mwoga na moyo kuhisi sindano.
Kukosa upendo kwa watu bila sababu na kuchukiwa bila sababu na watu wengi.

  1. Powerful soap
  2. Powerful oil
  3. Safisha
  4. Mt32
  5. Peace Oil
  6. Super MT

Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

Email: tibaherbs@gmail.com

Tuesday, March 10, 2020

MYOB Accounitng systems

We are expert in  MYOB, Tally and QuickBooks accounitng systems, we can train, make setup and do other posting in ledgers for you.

We have an office in Dar es Salaam ,Tanzania.
+255762053174/+255621870342

Email: computces@gmail.com

Saturday, January 18, 2020

Nuksi na Mikosi

Kusikia kauli za nina nuksi au ana nuksi au ana mikosi ni jambo la kawaida katika jamii, kwa mtani au kwa mzaa au baada ya kuona kila jambo unalofanya linatokeza matokeo mabaya sana kiasi kwamba unakata tamaa kila kukicha na kujiuliza nina nini?

Mikosi na nuksi ni hali ya kuharibikiwa kila mara, hii inaweza kuwa ni mipango ya Mungu mmoja muumba kukuona una msimamo gani na uwezo wake, pia matatizo mengine ni sisi wenyewe tunasababisha kwa makusudi au kwa jeuri au kwa bahati mbaya.
 Kuna mikosi na nuksi inavyoitwa  kwa mujibu wa binadamu kukufitini hasa kwa njia za nguvu za giza maana yake uchawi na kutupiana majini.

Ukilogwa na kutupiwa majini una weza pata majanga ukayaita mikosi na nuksi.

Dalili za kulogwa au kuwa na jini au vyote viwili

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo hauna baada ukipima choo.
  • Kutingishika baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghaflaukitoka usingizini au ukiwa peke yako
  • Mipango yote muhimu kuwa inavurugika ikikaribia kuwa sawa
  • Kshindwa kuoa au kuolewa na ukipata mchumba mara mipango inaharibika mwishoni
  • Kuota unakufa na unazikwa
  • Kuwa mzembe na kupenda kulala sana wakati mwingine saa nne ndo unapenda kuamka
  • Bosi kukuchukia bila sababu na ukiongea hataki wala mawazo yake ila ni kukufokea hata ujitahidi kuwa mpole na mchapa kazi wa hali ya juu
  • Kuona mme au mke anayo sura ya ajabu kama ya nguruwe au mbwa na hili hali wengine wanamuona mzuri

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

MT32-Magonjwa mengi mwilini na hasa uchawi wa kuwekwa mwili na jini vikawa vinatembea kwenye mishipa ya damu mpaka unahisi kitu au vitu vinatembea mwilini kwa ndani hasa mgongoni na mabegani kama vijiwe au panya anatembea kwa pozi la aina yake.

SAFISHA-unaharisha uchawi na kuondoa visivyotakiwa kiafya tumboni na hii inasaidia kusafisha utumpo na mishipa muhimu ya kutoka tumboni

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

Ukiwa umepima hospitali na hauponi basi tafuta tiba za kutibu uchawi kuondoka mwilini na kuondoa majini kwa maombi sahihi na madawa ya kunywa na kujipaka ili mashetani yaondoke mara moja kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee.

Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

Dalili kuu za uchawi na kulogwa kiafya

Uchawi na dalili zake ni:

ka mtumwa wa mganga na mashetani/majini pekee au majini na wachawi.