Search This Blog

Friday, September 20, 2019

Uchawi

Ukisema nimelogwa watu wengine wanakwambia ni imani potovu!
Unaweza kulogwa na ukateseka kwa kiwango cha juu, watu wanaangaika na maisha ila kuna baadhi wanaangaika na wewe.
Ukiona mtu anakuchukia bila sababu basi tambua kwamba anaweza hata kukulogwa au kwenda kwa waganga wakakuloga.

Kumbuka uchawi ni jambo baya na hili halina mjadala kijamii, kidini na kisheria.

Uchawi unaweza uguza mtu mpaka akafa au kuwa kichaa au watu kumchukia bila sababu!

Dalili za uchawi baadhi ni hizi hapa:

  • Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
  • Kujihisi umekata tamaa na unafikiri kila kitu hakiwezekani
  • Ugomvi na familia kila mara
  • Watu kukuchukia bila sababu
  • Ndoto za wanyama na nyoka
  • Kuota unakojoa au unajisadia
  • Kuandamwa na majanga kimaisha mpaka wakase unayo nikosi
  • Kuota unazaa na unawalea watoto
  • Kukosa choo bila sababu za kisayansi 
  • Kuchoka mwili kama umepigwa na kuhisi kila sehemu maumivu
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa
  • Kuchukia mke au mume bila sababu, kila akiingia ndani unahisi hasira
  • Kunyolewa nywele au kucha kukatwa
  • Nguo zako kupotea potea ndani
  • Kukosa marafiki hata kama una tabia nzuri
  • Kuchukiwa na watu wa karibu na marafiki kila mara
  • Kuahirisha mambo mpaka unazeeka
Uchawi unatibika kwa uwezo wa Mungu muumba.
Kuna dawa unazitumia za kunywa, kupaka, kujifukiza na kuoga ili uharibu kabisa mahusiano yaliyopo kwenye mwili wako na uchawi kupitia ushirikiano wa majini na wachawi.


Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342