Search This Blog

Monday, October 8, 2012

Yahya A. S.kateme ashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi wa UVCCM Mkoa Kagera

 Yahya A S Kateme Mwenyekiti wa UVCCM mpya Mkoa Kagera akiwa anajibu hoja kwa makini. Ameshinda kwa zaidi ya  250% kila mtu anadai kuwa ni ushundi wa kihistoria Mkoani Kagera Kwa ngazi hii. Picha hii ya chini kushoto Yahya A S Kateme alikuwa ziarani Wilaya ya Misenyi na Nape Nauye Katibu wa NEC taifa mwezi may 2012

Uchaguzi uliofanyika jana tar 8/10/2012 wa kumchagua Mwenyekiti wa mkoa Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Kagera umeenda vizuri ingawa dalili za kutoa rushwa zilikuwa zinaanza kuonekana baada ya kuona mambo yamekuwa mazito kwa baadhi ya wagombea. Udini nao ulianza kutumika kama kawaida ya baadhi ya washabiki wa wajumbe wenye kubagua wenzao kidini ili mradi wakidhi matakwa yao yatokanayo na woga wa kushindwa kwani mfa maji hakosi kutapa tapa, lakini yote haya hayakufua dafu kwenye nguvu ya mgombea Yahya A S Kateme aliyeonekana kushangiliwa na baadhi ya wajumbe hata kabla ya kupiga kura. Hii inatokana kijana huyu mtaalamu wa mambo ya Teknologia ya mawasiliano yaani ICT kuonyesha uongozi wake na jitihada zake kipindi alipokuwa Mwenyekiti wa Vijana wa wilaya mbili ya Kyerwa na Kayanga ikiwa wilaya moja ya karagwe kabla ya kugawanywa kuwa wilaya mbili kiasi kwamba juhudi zake za kuwaunganisha vijana wa ccm na kuwapa mbinu za kujikwamua kiuchumi kama kuanzisha SUCCOS ili iwasaidie kupata mitaji na kubuni miradi ya kuwakawamua na hatimaye waelekee kwenye kujiajiri kama yeye anavyojiajiri. Uchapakazi wake umejulikana hata kwa vijana wa wilaya zingine za Mkoa Kagera na kuamua kuwa lazima awe Kiongozi wa Mkoa ili chachu zake za kimaendeleo zisambae hata kwa vijana wa wilaya zote za Mkoa wa Kagera ndipo wameamua kumpa kura za kumwaga naye amepata kura 433 na aliyemfuata mpinzani wake Mkubwa Bwana Wilbroad kupata kura 192 na watatu kupata kura 1 hii inaonyesha alivyomzidi zaidi asilimia 250(250%) na ni ushindi wa kishindo katika Tanzania kushinda kwa asilimia hizi na hii ni kweli vijana wametaka mawazo mapya ya ubunifu na siyo bra bra za wanaotaka vyeo tu na baada ya kupata wanasahau ahadi zao na wanabaki kwenye kufitini wenzao na kuendeleza udini na ukabila. Mwenyekiti huyu mpya wa UVCCM Kagera, Yahaya A S Kateme mambo ya udini na ukabila kwenye siasa anayapiga vita na kuamini kuwa siasa ni kuwatumikia watu wote bila kubagua mtu yoyote ili mradi uadilifu na kanuni za utendaji kazi zimezingatiwa kwa mujibu wa Chama na Serikali.

N

Friday, April 20, 2012

Vote of No Confidence against Tanzaia Prime Minister Mizengo Pinda

Mr Zito Kabwe yesterday 19/4/2002 has conviced other members of parliament to deal with five ministers who their ministries are not performing well and it seems there are frequent money misuse, if the ministers will not resign immediately the vote of NO confidence agaisnt the Prime Minister will be conducted today 20/4/2012.

These incidence is showing how members of parliament are working for citizens who voted for them.

Jifunze Tally, MYOB na Pastel kwa bei nafuu sana na kwa vitendo



Contacts:
Email: computces@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Wabunge wachachamaa nchini Tanzania dhidi ya Ufisadi wa wazi

Wabunge waliopewa dhamana ya kuwakilisha wananchi katika maamuzi yao sasa wazidi kuwa wachungu dhidi ya baadhi ya mawaziri wanaodhihirisha utendaji wao kutokuwa makini katika ripoti za kamati mbalimbali.

Jana tarehe 19/4/2012 Mheshimiwa Zito Kabwe na wabunge wengine wameamua kupendekeza uwepo mchakato wa kupiga kura za kutokuwa na imani na waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda iwapo kufikia jumatatu mawaziri watano wenye matatizo ya kiufisadi katika wizara zao hawatajiuzulu basi waziri Mkuu atawajibishwa na bunge kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.

Hii inadhihirisha kuwa wabunge sasa wannafanya kazi ya kulinda masilahi ya wananchi waliowatuma bungeni na siyo kukumbayia watu wenye fikra za kuharibu bila kuwajibishwa.

Chama tawala kisifikiri wananchi wamesinzia kama muda wote wanapata rais kutoka CCM sasa wasipoangalia waweza kupata Rais bila wabunge au wakakosa vyote yaani wabunge na Rais, hii hali inaoneka katika uchaguzi huu wa mwaka 2012 wa kurudia baadhi ya majimbo CCM imeshindwa viti vyote kwa mpigo na hii inaonyesha picha wazi kuwa tunapoolekea mambo yatakuwa magumu kwa CCM. Nawapa ushauri viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutawala nchi hii watunze heshima yao kwa kutekeleza wajibu wao na kutumia mali ya nchi kwa uadlifu ndipo hali itakuwa nzuri kwao na wananchi kwa ujumla.

KOZI MUHIMU


Pata mafunzo ya Computer repair maintenance, Web site designing-JOOMLA, GIS, TALLY, MYOB, PASTEL na Programming



Contacts:
Email: computces@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Tuesday, April 10, 2012

NECTA Past Papers-Tanzania Form Four Exams

 NECTA FORM 4 ONLY AND ATTEC 2  TANZANIA PAST PAPERS AT 500 TZSH PER PAPER,

Utatumiwa kwenye email yako baada ya kulipa kwa MPESA



Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

Email:computces@gmail.com

Friday, February 3, 2012

Jaalab Enterprises

Kampuni hii inafanya kazi mbali mbali kama  kusambaza vifaa vya shule vya maabara, vitabu, n.k pia inajenga mashule na maabara na kwa ujumla kazi zote za ujenzi. Wameisha fanya miradi mingi ya ujenzi Dar es Salaam, Kagera na kwingineko nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mkuu Bwana Abdu Rafiu Jaffar Bwanika amesimamia miradi ya shule, maabara na makazi ya Taasisi mbali mbali. Kwa mawasiliano unaweza ukatembela ofisi zao Bukoba na Dar es Salaam.

Vifaa vya maabara kwa bei nafuu na kushauriwa kiutaalamu, pia kompyuta za shule kwa bei nafuu tutakuletea shuleni au chuoni



Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342