Search This Blog

Tuesday, June 16, 2020

Uchawi ni dhambi katika uislam

Usiloge wala kujifunza uchawi, uchawi ni kosa na hukumu ni kuuawa katika mafunzo ya dini za Kiislam na Kikristo kwani watu wengi wanasumbuliwa na wachawi na chanzo ni husuda na kulipiza.

Mungu anasema Wachawi waliitwa na Faraho wa misri enzi za Mtume Musa, Musa alipotumia uwezo wa Mungu wao walidhani ni uchawi na wakataka kuonyesha uchawi wao kwa Musa, Musa kwa kutumia uwezo wa Mungu aliwashinda na baadhi yao wakasujudu na kuamini Mungu wa Musa na Harun,

Habari utazipata katika Qur'an na Biblia na mpaka leo wachawi wapo, ukijihisi umelogwa kwa dalili hizi kukutokea:

Kuchanjwa usingizini
Kuota ndoto za ajabu na za kutisha
Kuumwa maradhi yasiyoeleweka hata kwa vipimo vya Hoaspitali
Kuchoka kila siku ukiamuka asubuhi na huna malaria kamwe
Kukata tamaa ya maisha na kila mtu kukuchukia
Kama ni mwanamke hupendi kuolewa au unakosa wa kukuoa na kila akija mchumba anaacha muda mfupi tu
Kuota unafanya mapenzi na watu usiku au wanyama
Kuota unajisaidia sehemu au chooni au sehemu chafu
Kuhisi unaitwa jina lako

Ukiwa na dalili mojawapo basi kuna uchawi unaendelea dhidi yako na unaweza kuomba sana Mungu mmoja wa pekee na wakati huo unapata tiba na kutumia dawa zifuatazo:

  1. Powerful soap
  2. Powerful Oil
  3. Safisha
  4. Mt32
  5. Peace Oil

No comments:

Post a Comment