Search This Blog

Tuesday, June 16, 2020

Uchawi upo kwa asilimia 100

uchawi upo kila sehemu na wala usiogope kwani ukimuamini Mungu muumba kwa uhakika unaushinda kwa uwezo wake.

Ukihisi kuogwa na dalili kama kuchanjwa usiku umelala, kukwaruza mikwaruzo umelala, kuota unalishwa vitu au nyama, kuota nyoka weusi na mbwa mara kwa mara usingizini basi jua kuwa umelogwa na unawezekana hata jini umetupiwa unaishi nalo.

Kuna mambo mengi hatuyaoni kwa macho ila yapo, kama mawimbi ya mitandao ya simu, mawimbi ya TV, Radio, Uhai na maisha baada ya kufa tutaona mengi zaidi ya haya.

Malaria huwezi ukaiona bila Microscope lakini tunaweza tukapata dalili za malaria kama viungo vya mwili kuumwa na kulegea, homa kali na kichwa.
Dalili zinatupa taarifa kuwa mwili wetu unaweza kuwa una malaria ila tunahakikisha kwa kupima malaria kwenye maabara.

Uchawi unazo dalili nyingi ila watu wanasema mimi nina bahati mbaya au nina kisilani au kuna mkono wa mtu na mfano wa kama hayo.

Kwa hiyo la msingi na muhimu ukijihisi hauko sawa nenda kwanza kapime afya na ukikuta ugonjwa mwilini basi anza dozi sahihi, ikiwa hakuna walichokiona basi jaribu kutumia dawa za asili zikiwemo za tiba nyingi ikiwemo hata uchawi.

Dawa hizi ni muhimu kwa mtu mwenye dalili za kuhisi maumivu na miguu kuwaka moto, kuota ndoto mbaya, kuhisi vitu mwilini vinatembea mwilini na kujihisi mwoga na moyo kuhisi sindano.
Kukosa upendo kwa watu bila sababu na kuchukiwa bila sababu na watu wengi.

  1. Powerful soap
  2. Powerful oil
  3. Safisha
  4. Mt32
  5. Peace Oil
  6. Super MT

Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

Email: tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment