Search This Blog

Thursday, July 9, 2015

Dawa za asili zaidi ya 32 za kuondoa uchawi mwili na magonjwa mengine

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo hauna baada ukipima choo.
  • Kutingishika baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghaflaukitoka usingizini au ukiwa peke yako
  • Mipango yote muhimu kuwa inavurugika ikikaribia kuwa sawa
  • Kshindwa kuoa au kuolewa na ukipata mchumba mara mipango inaharibika mwishoni
  • Kuota unakufa na unazikwa
  • Kuwa mzembe na kupenda kulala sana wakati mwingine saa nne ndo unapenda kuamka
  • Bosi kukuchukia bila sababu na ukiongea hataki wala mawazo yake ila ni kukufokea hata ujitahidi kuwa mpole na mchapa kazi wa hali ya juu
  • Kuona mme au mke anayo sura ya ajabu kama ya nguruwe au mbwa na hili hali wengine wanamuona mzuri

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi


Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

MT32-Magonjwa mengi mwilini na hasa uchawi wa kuwekwa mwili na jini vikawa vinatembea kwenye mishipa ya damu mpaka unahisi kitu au vitu vinatembea mwilini kwa ndani hasa mgongoni na mabegani kama vijiwe au panya anatembea kwa pozi la aina yake.

SAFISHA-unaharisha uchawi na kuondoa visivyotakiwa kiafya tumboni na hii inasaidia kusafisha utumpo na mishipa muhimu ya kutoka tumboni


Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


ka mtumwa wa mganga na mashetani/majini pekee au majini na wachawi.

Ukiwa umepima hospitali na hauponi basi tafuta tiba za kutibu uchawi kuondoka mwilini na kuondoa majini kwa maombi sahihi na madawa ya kunywa na kujipaka ili mashetani yaondoke mara moja kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee.










Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342

No comments:

Post a Comment