Search This Blog

Thursday, July 9, 2015

majini

Majini ni viumbe vilivyotengenezwa kwa moto lakini tofauti na huu tunaotumia kwani anayejua zaidi moto huo ni muumbaji Mwenyezi Mungu wa pekee asiyekuwa na mshirika.

Majini yana sifa tatu kama moto nazo ni:

Conduction-moto usafiri kwenye chuma na chuma upata joto kali
Radiation-moto au nishati upita kwenye hewa mfano jua linapita kwenye hewa na kuleta joto kali
Convection-Moto unapita kwenye maji mpaka yanachemka tunaona wakati wa kupika au kuchemsha maji

Sasa majini yanapita kwenye hewa na huayaoni na yanaingia mwilini mwako na yakisha ingia baadhi ya viungo vinapata ganzi, vingine moto au kuhisi unaungua miguu na wakati mwingine yanarusha mionzi kama ya jua inampata mtu ikiwa madawa yametegwa njiani ukapita jini aliyetumwa na mchawi anarusha miale ya hatari yenye kuingia mpaka mwilini na kuleta madhara ya kiuchawi mwilini kwa njia ya ajabu na utasikia wanasema kakanyaga mdudu ati wanaona aibu kusema kakanyaga uchawi na hii imefanya watu wakiona dalili za kulogwa wanaficha wanakwenda kwa waganga washirikina wanawapa masharti ya kishirikina kama kuchinja mbuzi au kondoo wa rangi fulani na kutambikia eti kutibu uchawi huo, hii yote ni ushirikina na kumridhisha shetani na kundi lake eti awe mpole hamuache mgonjwa na kutulia. Hii uwa inajirudia mara kwa mara kugeuTiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.


  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi


Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


ka mtumwa wa mganga na mashetani/majini pekee au majini na wachawi.

Ukiwa umepima hospitali na hauponi basi tafuta tiba za kutibu uchawi kuondoka mwilini na kuondoa majini kwa maombi sahihi na madawa ya kunywa na kujipaka ili mashetani yaondoke mara moja kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee.











UNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.


Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649
Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment